Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Nina miaka 30 kufikia hukoMadame Mkemia wetu analala mapa,kesho anasimamia watoto wetu
Huyu Wigee si ajabu amekunywa na Alkasusu huyu.
Still chuma kikoli moto
Nina miaka 30 kufikia hukoMadame Mkemia wetu analala mapa,kesho anasimamia watoto wetu
Huyu Wigee si ajabu amekunywa na Alkasusu huyu.
Kula dagaamimi sina tu hela jamani![]()
kuna calcium supplements , nazitamani hizo ...
Mwambie huyo bi mdashiSi wanasemaga ukishaoa/ olewa au ukishapata mtu ndio wengine wanajitokeza kwa kasiiii.. Wige Anakuelewa kitambo sana nawe walijua hilooo ni amekukamia balaa![]()
hebu selfika kdgMje nimemiss kuselfika hata na ka tbt
Ni wivu tuWanashuhuli pevu ukiona hivo
dagaa nakula sema si sana .Kula dagaa
Huyu ni kicheche
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto

Mitaa yangu hiyoPoste code : buza
location : kwa mama kibonge
password : ki pub uchwara ( kwa sakina )
Nilivyoona tu hilo box nikakadiria beinahitaji na hii
stress zitanisumbua
hakika , wana product nzuri , nikiwa mkubwa nitakuwa nanunua bidhaa zao .Nilivyoona tu hilo box nikakadiria bei
Anajichetua huyoo ila anakukubali pia tena kinomaaaa😛🤭🤭Anapenda kujitoa ufahamu@Saint Anne
Eti BL naanzaje kukukosea adabu
Mimi huyu
hahahaha,ngoja nione huo ubalaaMitaa yangu hiyo
Hapo kwa sakina ni balaa
Endelea kumtia moyo aendelee kupoteza muda wake kuniimbishaAnajichetua huyoo ila anakukubali kinomaa pia tena kinomaaaa![]()
NilishaolewaWakati huo nilikuwa nakupimia
Nimejiridhisha nakumudu
Maana mna swaga na shobo nyie viumbe
Si ki polepole
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Siwaweziiii kabisa!!Maji marefu yale
Alishasema hataki wa mitaa ya JF
Hivi naanzaje kum Cc
Nijikute tu![]()
Wigelekelo ni wako tu hata iweje!! 😁Endelea kumtia moyo aendelee kupoteza muda wake kuniimbisha