NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Ndio Boss.Soda elfu4?
Ndio Boss.Soda elfu4?
Acha uchokozi 🤨🤨
Anataka niharibia mdogo wangu AlaynaHuyu ni kicheche
Itabidi tumpunguze kasi
Anataka niharibia mdogo wangu AlaynaHuyu ni kicheche
Itabidi tumpunguze kasi
Nimekubali kuwa wewe ni kifaa..
Nishamlipia mahali mwali wangu, kuanzia leo anaitwa Aisha mtetemo National .. najilia vyangu tu hapa mtoto anapika huyo 🤣🤣🤣Hiyo vita unayoitafuta sio ndogo shauri yako😆😆😆
Niachieni Aisha wangu mie 🤣🤣🤣🤣 najilia memaKuna matusi unatafuta mie sipo😆😆😆😆alu ini aluuuu ni karembo sana
Naomba niwaachie mirindimo yenu mnajijua wenywe 😆😆😆Ila I’m happy for you manNishamlipia mahali mwali wangu, kuanzia leo anaitwa Aisha mtetemo National .. najilia vyangu tu hapa mtoto anapika huyo 🤣🤣🤣
Wifi yako Aisha mitetemo FK21 anakusalimia hapa.. me too my sis 😊😊Naomba niwaachie mirindimo yenu mnajijua wenywe 😆😆😆Ila I’m happy for you man
😀😀😀😀😀😀 Wifi yako aisha mitetemo FK21 kaniomba nilale.. By my sister uwe na usiku mwema, kesho mtanisaidia saloon gani nzuri nimepeleke wifi yenu akapodoleweNimecheka mpaka nimepaliwa😆😆😆😆😆una nini lakini
Mimi mzima kaka yangu naona unajihusisha na shem😆
Melo aeke kipengele cha voice note😆😆😀😀😀😀😀😀 Wifi yako aisha mitetemo FK21 kaniomba nilale.. By my sister uwe na usiku mwema, kesho mtanisaidia saloon gani nzuri nimepeleke wifi yenu akapodolewe
nampeleka kwa didi, maana huyuu wifi yako ana madeko 🤣🤣🤣Melo aeke kipengele cha voice note😆😆
Si ashasema ana mdada anamsukaga mara moja kwa wiki
Jitahidi umpeleke zile salun za mliman city bana😂
Mpeleke kwa pascomakeover ndio atamjulia na hiko kichwa chake😆nampeleka kwa didi, maana huyuu wifi yako ana madeko 🤣🤣🤣
akitoka hapo nampeleka Mac pale mlimani city ndani akapigwe 💄 matataaaMpeleke kwa pascomakeover ndio atamjulia na hiko kichwa chake😆
Aiseeee wifi ana bahati jaman😆😆akitoka hapo nampeleka Mac pale mlimani city ndani akapigwe 💄 matataaa