Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wige Mtu wa knamu gwako Saint Anne mr vocha si unaona wakikaa hata sekunde lazima wanisiane na kakili mwenyewe hawawezi kukaa bila kuqwotiana mr vocha

Itakua wanakua wanafanya mazoezi ya asubuhi ili kujiweka fit labda!!
Mie napambana na hali yangu tyu nimedokaaaajee 😉!!
Madam kumbe bado upo?
Huyu Saint Anne anakurushia mpira🤣🤣
 
Wige nadhani kapepo kamemvaa aje kuharibu kapo yangu.

Nilikuwa singo napigwa na Upepo, yeye alikuwa anapiga rodi trip na kuweka kambi kila kituo.

Sasahivi amesubiri nipo dabo ndo anajidai kuniimbisha.
Si wanasemaga ukishaoa/ olewa au ukishapata mtu ndio wengine wanajitokeza kwa kasiiii.. Wige Anakuelewa kitambo sana nawe walijua hilooo ni amekukamia balaa😀😛
 
Back
Top Bottom