Mwanaume wa Dar[emoji16]
Mdudu wa 1500[emoji16]? AuKila kitu jumla elf tatu mduduView attachment 2397387
Utakula hela hadi utapike😂😂😂Nimecheka looh
Ila ndugu umenikabidhisha ghafla Yan hata bila mtongozo niringe ringe Nile na nauli aah sitaki. 😂😂
1.Sijaiona
Weka hapa tuone
2.Sijaiona
Weka hapa tuone
Asante Mkuu,
Mm nitapike Hela😂😂😂Kuhusu hela usijali
Utakula hela hadi utapike
Mdada mmoja tu apa mtaani ndo aliyenipa idea huwa nasuka weekend tu.Asante Mkuu,
Nimekuona
Nani huwa anakusuka?
Mke wangu kipenzi umekuja?😁
Mdudu buku mbili ndizi buku iringa hii [emoji38][emoji38]Mdudu wa 1500[emoji16]? Au
😂😂Amelewa huyoMke wangu kipenzi umekuja?😁
Saint Anne amekwisha maliza kazi
Kasema ukifika tu nimuite aweke dua yake mambo yawe bam bam😜
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto
Unamjua lakini Nkamu asivyo bahili?Mm nitapike Hela😂😂😂
kijana mrembo mzuri kabisa , alafu unajidai mandoga. Hapo imebaki kuvaa kipedo na brauzi wahuni tukuletee moto