Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wige Mtu wa knamu gwako Saint Anne mr vocha si unaona wakikaa hata sekunde lazima wanisiane na kakili mwenyewe hawawezi kukaa bila kuqwotiana mr vocha

Itakua wanakua wanafanya mazoezi ya asubuhi ili kujiweka fit labda!!
Mie napambana na hali yangu tyu nimedokaaaajee hapa!!
Anapenda kujitoa ufahamu@Saint Anne

Eti BL naanzaje kukukosea adabu

Mimi huyu
 
Wige nadhani kapepo kamemvaa aje kuharibu kapo yangu.

Nilikuwa singo napigwa na Upepo, yeye alikuwa anapiga rodi trip na kuweka kambi kila kituo.

Sasahivi amesubiri nipo dabo ndo anajidai kuniimbisha.
Wakati huo nilikuwa nakupimia

Nimejiridhisha nakumudu

Maana mna swaga na shobo nyie viumbe

Si ki polepole
 
Back
Top Bottom