Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Hongera sana 😂😂Kuna muda hutaki kuongea na yeyote.
Sema nilivyoona lile embe niliamka kutafuna udongo..nawekaga pembeni kitandani.
Hongera sana 😂😂Kuna muda hutaki kuongea na yeyote.
Sema nilivyoona lile embe niliamka kutafuna udongo..nawekaga pembeni kitandani.
😂😂😂Waambie waseme suu
Nazimwaga zote nikianza na zako
Mate yalinijaaHongera sana 😂😂
Tutaiforce itabidi ikubali tu, hatujawahi shindwa kitu😂😂 on the one, two imekataa kurespond
Uko vizure... pembeni baba pasta anakubembekeza asanteeeeNikawa nakula zangu mziki taratibu
Ila nasikia sio mzuri kutumia sanaMate yalinijaa
Na kitu ninachopenda ni udongo
Wajuba at their bestTutaiforce itabidi ikubali tu, hatujawahi shindwa kitu
AiyaaaWajuba at their best
Vikucha vya kibahiri

KwaniniVikucha vya kibahiri![]()
Naijua tuKwanini
Ila nasikia sio mzuri kutumia sana
mchongo 😂😂😂😂😂Uko vizure... pembeni baba pasta anakubembekeza asanteeee
My furendi hebu pata folic acid vidonge unywe itapunguza hiyo craving ya udongo .🥺
Hata hivyo nimepunguza sana.