Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Get away... Ngoja tuka ji ground porini, tukapate positive energy
IMG_20191109_214758.jpeg
 
Hajawahi wapi muongo huyo,, vingine mtu unajiongeza unajua tu mmhh hapa nimelishwa tango pori..

Nitakuwa nakutafuta mwaya uniambie[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kaongo sana.
Hapo bado hajaanza kudanganya hajawahi kufika dar.

Yaani akikwambia kitu niite nikidhibitishe kwanza.
 
Back
Top Bottom