Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua namuamini sana cute b kuliko wewe,, hata kama kaniambia jambo linalokuhusu wewe mwenyewe na ukalipinga nitamuamini yeye sasa ongea na mdogo wako vizuri uwe unampanga vitu vya kutuambia sisi ili msitindinganye mambo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilisema ya upole sio nyembamba, cute b kakudanganya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua namuamini sana cute b kuliko wewe,, hata kama kaniambia jambo linalokuhusu wewe mwenyewe na ukalipinga nitamuamini yeye sasa ongea na mdogo wako vizuri uwe unampanga vitu vya kutuambia sisi ili msitindinganye mambo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hawezi kunipanga coz I am telling the truth.
Sipendi kusema uongo.
 
Back
Top Bottom