Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Oohh,, yeah nilikuwepo pale..
Milimani dear; ooh kumbe ulikuwa pande hizo
Milimani dear; ooh kumbe ulikuwa pande hizo
Ukaribie tenaOohh,, yeah nilikuwepo pale..
Edo ni mgonjwa jamani.
Ukaribie tena
Hahah siyo Mbezi mkuu??
Umenikumbusha kuna ka pub kamoja pale magomeni ka kuitwa lango la jiji kalikuwa kanapiga taarab karibu muda wote zamani kidogo sijui kama bado kapo siku hizi
So unakaa forest mpya kule milimani au huku karibu na ngonga?? By the way mimi nilikuwa forest ya zamani pale karibu na benki kuu!!
Ok OK... MkuuHahaa huyo sie Mimi mkuu.
Naskia alikua noma sana kwenye izo issues za mbuzi choma, dooh
Upunguze kulala; unapishana na picha zetuWatu wawili ambao picha zao sijawahi kuziona... Atoto na Heaven sent.
Nioneeni huruma jamani
mishikaki yake hatari...kwanza mikubwa km andazi
,nna mashaka sasa ni nyama ya mbuzi kweli hiyo, andazi
au ya ngamiaMuwe mnatutag sio kila muda tutakua jf jamaniUpunguze kulala; unapishana na picha zetu
Mbezi nje ya mji...wapo krb na kibaha kuliko posta
Migo lango la jiji zamani hizo
kwa Lenna?
![]()
![]()
,nna mashaka sasa ni nyama ya mbuzi kweli hiyo, andazi
au ya ngamia
Hapana kwa Mgawe