Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
Kwako Saint AnneZamu yako na Anne mtupie
Kwako Saint AnneZamu yako na Anne mtupie
🙂🙂🙂 za kuambiwa changanya na zako, wengine ni single forever.. ishini kama mie kaka yako no love no nini kikubwa uhai na kupumua na kula chakula na kulala mengine ubatili mtupuNdivyo unavyotudanganya?😂
Atakuja saa usiyoitarajia na hautatumia nguvu Wala.Amen ,
Ngoja nisubirie wangu
Biashara ina faida na hasara, akili kichwani kikubwa ukojoe na kufurahiKwa tahadhari kubwaaa! Sema ukiingia huku unajua anything can happen hupati tabu kabisa!
Ubatili eeeh?🙂🙂🙂 za kuambiwa changanya na zako, wengine ni single forever.. ishini kama mie kaka yako no love no nini kikubwa uhai na kupumua na kula chakula na kulala mengine ubatili mtupu
Aisee mpunguzeMood swings kama zangu
Niwekee basi mjomba wako ya kimtego mtego 🙂🙂Story fupi fupi selfii kwa wingi wapendwa 😉
Kwako MC boss leideeKwako Saint Anne
hakuna kanuni, wengine walibakwa mbakaji akanogewa akatangaza ndoa.. ukiweka formula unaumiaUanzaje urafiki kwa hiyo
Tufanye kwa mjomba National AnthemKwako MC boss leidee
Girls girls girlsHahaha aise alitisha jamani
These hormones zinacheza na mind kweli kweli .
Mimi kuna muda huwa nalia na nikiwa na stress ndo kabisa .. I feel like the world is ending ...



Nakaziaaaa 🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨hakuna kanuni, wengine walibakwa mbakaji akanogewa akatangaza ndoa.. ukiweka formula unaumia
Unamjua sana.Sahihi bora muanze kwa urafiki
Hapo unaweza mjua mtu kiasi
Unavuruga mahusiono kiaje ya watu waliopendana ? utaishia kujipa stress una wish watengane dua inabadirika wanazidi kupendanaaa kama penzi jipyaa.. issue ni kusonga mbele na kutafuta wakoAtakuja saa usiyoitarajia na hautatumia nguvu Wala.
Mungu ni mwaminifu sana.
Shetani anaweza kukudanganya kukuwazisha kuwa umechelewa..au kwanini usivuruge mahusiano Yao,au anakuwazisha kwamba hutapata kwingine,heri ugombanie hapo.
Anakushawishi kwamba kuanza upya tena mbona itakuwa kazi.
Ila zote hizo huwa ni mbinu za kutulaghai..
Anajua kabisa yaliyo mbele yetu ni mazuri.
Rarely Caseshakuna kanuni, wengine walibakwa mbakaji akanogewa akatangaza ndoa.. ukiweka formula unaumia
Kuna watu wanavuruga aloo😂Unavuruga mahusiono kiaje ya watu waliopendana ? utaishia kujipa stress una wish watengane dua inabadirika wanazidi kupendanaaa kama penzi jipyaa.. issue ni kusonga mbele na kutafuta wako
🤣eeh ni kukojozana mengine bahati nasibu.. sema shida watu wanataka gandana kama ruba🤣🤣
Mapenzi ubatili mtupu, Bwana kwanza anakaribia kurudi, bora kubaki kama mtawa unamtumikia Bwana. Hupungukiwi neno kuwa single hata nawashangaa tu watu wanao angaika na mapenzi.. 🙃🙃Ubatili eeeh?
Mtu akikusoma mbona unampoteza sana🤣🤣🤣🤣
Aloo nishaandaa skuna na gauni,Nasubiri location nije kupiga ubwabwa mie.
HatuweziAisee mpunguze