Sitaki kuvunja urafiki wetuMkomaliee hivohivooo atakupenda mbele kwa mbeleee 😄😁😁
Weh anitafute na kunichamba , naogopa mie 😂😂Mchumba wake wee hakuhusuuu anahuu jamaa tyu😁!!
Dah!Acha tu the guy ni rafiki yangu kweli
So siku hizi hadi namuavoid kabisa
Akisem tumeet sehemu najifanya nipo busy siku hiyo .
Umesema sahihi dear nifocus tu yangu
Nakuombeaje wakati maombi ulishayapiga chini
Huyo atakutesa.Weh anitafute na kunichamba , naogopa mie 😂😂
Tuliweka mapatano kwamba tutaomba pamojaUnaweza kuniombea bila mimi kushiriki
Hapo umenenaaaa!! Ukitaka ufurahie urafiki nae baki hapo hapo kwenye urafiki ukijifanya kuzamaa tyu tena ukajiroga kumpea na hujui mambozz imekula kwako mazimaaaa!!😁!Sitaki kuvunja urafiki wetu
Nitulie kwanza 😂
Yeah inatokea Sana , I had a friend of mine wakati wa Chuo , we were so close .Dah!
Niliwahi kuwa na rafiki wa hivyo..
Alikuwa rafiki yangu sana hadi watu wakahisi tuna date.
Sema ule urafiki ungeendelea mwishowe mahusiano yangezaliwa.
Ulipungua baada ya Mimi kuwa dabo.
Nyie kuweni hivyohivyo tuSitaki kuvunja urafiki wetu
Nitulie kwanza 😂
Asubiri Nature ufanye kazi yake ausio ✌️✌️ Inapendeza sana!Ah wapi!
Asithubutu
Asubiri tu atatokea atakayempenda kwanza
Sidhani aiseeNyie kuweni hivyohivyo tu
Mambo huwa yanabadilika.
Alikuwa ananipambania ..Tena alikuwa kipanga darasa lao akawa best student..Yeah inatokea Sana , I had a friend of mine wakati wa Chuo , we were so close .
Marafiki wa kiume wanasave sana .
Hapo huna chako ,Sidhani aisee
Anampenda girlfriend wake mno
Ashamvalisha Pete 😔
Huyo atakua hajiaminiii mwanaume hachungwiiiii! Atulize kineeeWeh anitafute na kunichamba , naogopa mie 😂😂
Inaonyesha alishafika hatua za mbali.Asubiri Nature ufanye kazi yake ausio ✌️✌️ Inapendeza sana!
Huyo gelo wakee akikaa kizembe mbona meza inapinduliwa vizuri huwajui wanaume wewe!!Hapo huna chako ,
Tulia,Mungu yupo mbioni kukuletea mtu.
Merely ,Huyo gelo wakee akikaa kizembe mbona meza inapinduliwa vizuri huwajui wanaume wewe!!
Mahusiano ya Vijana wa kileo huanzia kwenye kitobo! Hayo ya kuanzia urafiki ni ya walio siriaz na wanaohitaji future!!Inaonyesha alishafika hatua za mbali.
Ila ingekuwa bado mapema mambo yangewezekana.
Mahusiano yoyote huanzia kwenye urafiki..Unaplay part yako kama rafiki,,baadaye mara mambo yanageuka.
Mnajaza upepo mwenzenu, atatiwa mimbaa atelekezwe 🤣🤣🤣 watu wanapenda kukojole kwa kitobo ila wakisia mimba na mawasiliano yanaishia hapoMkomaliee hivohivooo atakupenda mbele kwa mbeleee 😄😁😁