National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Hakukuwa na upendo . Palipo na upendo na Mungu yupo, utakunya na kufa watu wapo vile vile wanazidi kupenda, na ukivuruga ya watu ili mtu ajibanze yeye ( apandacho mtu ndicho atachovuna ) karma sio ya mchezo mchezoKuna watu wanavuruga aloo😂
Wanatafuta tu vitu vya kuwagombanisha watu.