Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,313
Dunia ipo chali mdogo wangu!!Merely ,
Na si vizuri kuvunja mahusiano ya watu .
Labda itokee wenyewe wameshindwana.
Kuwa sababu ya mahusiano ya mtu kuvunjika aisee msala.
Dunia ipo chali mdogo wangu!!Merely ,
Na si vizuri kuvunja mahusiano ya watu .
Labda itokee wenyewe wameshindwana.
Kuwa sababu ya mahusiano ya mtu kuvunjika aisee msala.
Urafiki wa kazi gani kupotezeana mda tyuuuMahusiano ya Vijana wa kileo huanzia kwenye kitobo! Hayo ya kuanzia urafiki ni ya walio siriaz na wanaohitaji future!!
Yes dear ngoja tubaki kwenye urafiki hapo .Hapo umenenaaaa!! Ukitaka ufurahie urafiki nae baki hapo hapo kwenye urafiki ukijifanya kuzamaa tyu tena ukajiroga kumpea na hujui mambozz imekula kwako mazimaaaa!!😁!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Huyo wa kubeba mimba unknowingly na ukubwa wote huu anatuangushaaa🤣🤣🤣🤣!!Mnajaza upepo mwenzenu, atatiwa mimbaa atelekezwe 🤣🤣🤣 watu wanapenda kukojole kwa kitobo ila wakisia mimba na mawasiliano yanaishia hapo
Sema wewe mjomba 😁!!Urafiki wa kazi gani kupotezeana mda tyuuu
Yes dear ngoja tubaki kwenye urafiki hapo .Hapo umenenaaaa!! Ukitaka ufurahie urafiki nae baki hapo hapo kwenye urafiki ukijifanya kuzamaa tyu tena ukajiroga kumpea na hujui mambozz imekula kwako mazimaaaa!!😁!
Kabisa dear!! Hawatabiriki kabisa!Yes dear ngoja tubaki kwenye urafiki hapo .
Simpi aisee 😂😂
kwani wanao beba na kujikuta single mama huwa inakuwaje au wanakuwaga watoto 🙂🙂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Huyo wa kubeba mimba unknowingly na ukubwa wote huu anatuangushaaa🤣🤣🤣🤣!!
Mtu akishakojoa tu hana mudaaaa🤣🤣😁😁😁😁!!
ni kupigana machine kwanza, mengine yakitokea basi mnashukuru, mnasonga mbele.. mnakuwa kama risk taker 🤣🤣Sema wewe mjomba 😁!!
Kabisa dear!! Hawatabiriki kabisa!
Ndio mambo kama hayooooo Nimesema Hamtabirikiiiiiii...Na Mapenzi yana msimu! Hapo inakua ishafikia point of no return 😄!!kwani wanao beba na kujikuta single mama huwa inakuwaje au wanakuwaga watoto 🙂🙂
Ndivyo unavyotudanganya?😂Urafiki wa kazi gani kupotezeana mda tyuuu
Kwa tahadhari kubwaaa! Sema ukiingia huku unajua anything can happen hupati tabu kabisa!ni kupigana machine kwanza, mengine yakitokea basi mnashukuru, mnasonga mbele.. mnakuwa kama risk taker 🤣🤣
Amen ,Hapo huna chako ,
Tulia,Mungu yupo mbioni kukuletea mtu.
Uanzaje urafiki kwa hiyoUrafiki wa kazi gani kupotezeana mda tyuuu
Nadhani ya kuanzia urafikini ndiyo anayoyatafuta TinsleyMahusiano ya Vijana wa kileo huanzia kwenye kitobo! Hayo ya kuanzia urafiki ni ya walio siriaz na wanaohitaji future!!
Zamu yako na Anne mtupieStory fupi fupi selfii kwa wingi wapendwa 😉
eeh ni kukojozana mengine bahati nasibu.. sema shida watu wanataka gandana kama ruba🤣🤣Ndio mambo kama hayooooo Nimesema Hamtabirikiiiiiii...Na Mapenzi yana msimu! Hapo inakua ishafikia point of no return 😄!!
Sahihi bora muanze kwa urafikiNadhani ya kuanzia urafikini ndiyo anayoyatafuta Tinsley