Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unamjua sana.
Yaani Hadi kuingia kwenye mahusiano tayari mnafahamiana..Unajua mwenzio Nini hapendi nini anapenda.
Naye anakujua vizuri..Kuna muda anaiona tone yako hata kabla hujazungumza sana.

Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako.
Naomba nipate wa ainna hiyo kwa kweli .
Love starts from friendship
 
Back
Top Bottom