Ooh vyema ,Asubuhi iko vyedi sana mamy Hata Sijaenda kanisani leo 🙃! 😉
Hapa nasubiria magimbi yaive🙇😚
Asante dear ni yale makubwa sana yakiiva ni malainiiiiii afu yana ungaa nayapenda sana hata niyafululize siyakinai wala kutachoka !Ooh vyema ,
Magimbi huwa mazuri sana , enjoy your breakfast.
Ooh hayo matamu kwa kweli upate na chai ya maziwa ushushie .Asante dear ni yale makubwa sana yakiiva ni malainiiiiii afu yana ungaa nayapenda sana hata niyafululize siyakinai kabisa!!
Matamu mnooo😋😋!Ooh hayo matamu kwa kweli upate na chai ya maziwa ushushie .
Maisha ndo haya haya
Lately nina food cravings huyo .Matamu mnooo😋😋!
PmsLately nina food cravings huyo .
Tule tu hakuna namna![]()
Zinajua kunichanganya 😂😂
Sijui huwa mnakuwje,,Zinajua kunichanganya
Nikienda restaurant natamani kila kitu![]()


Hahaaha embe bichi huwa ni tamu .Sijui huwa mnakuwje,,
alininunia kisa sikuja na maembe mabichi![]()
Ni muda ambao hata afanye nini siwezi weka any verbal admonition,, ni headache tupuHahaaha embe bichi huwa ni tamu .
Mimi mwenyewe nimeona jana nikalitamani .
Yani hutulii hadi upate kile kitu aisee, ndo nafsi inaridhika .
Ni strong urge unapata ambayo huwezi zuia .Sijui huwa mnakuwje,,
alininunia kisa sikuja na maembe mabichi![]()
Mvumilie tu maana muda huo akili sijui inakuwa wapi .Ni muda ambao hata afanye nini siwezi weka any verbal admonition,, ni headache tupu
PMS ni kiboko mood swings za kufa mtu,, kwa mtu asiyejua ataona kama usumbufu aseeNi strong urge unapata ambayo huwezi zuia .
However kwa case yangu mimi pia ni foodie.
Hakika aisee ni ngumu deal nayoPMS ni kiboko mood swings za kufa mtu,, kwa mtu asiyejua ataona kama usumbufu asee
Nasubiri Bina.
Ndio raha yenyewe ya Mtoto,unajiona responsible![]()

weee acha TU Hapa yaani shida kanajiamini Sana balaaa!!!kanafaulu ndo na ya Jana ya mwishoo afu tuchague pakwendaKuna siku alinambia i don't feel like talking with you leo, and i was like cool cool,, nikaja mtafuta jioni she's cryn sijamwambia nakupenda the whole dayHakika aisee ni ngumu deal nayo
Sema ni part ya maisha ya ke .
Comforting tu inatosha na kuwa supportive kwa partner wako .


Sio poa aisee,kumbe umejificha mwenyewe 🤷♂️Matama🤠
Rey huyooooo!!weee acha TU Hapa yaani shida kanajiamini Sana balaaa!!!kanafaulu ndo na ya Jana ya mwishoo afu tuchague pakwenda
Mood swings kama zanguKuna siku alinambia i don't feel like talking with you leo, and i was like cool cool,, nikaja mtafuta jioni she's cryn sijamwambia nakupenda the whole day
i was like nigga you told me hujisikii kuongea na mimi siku nzima why cryn![]()