Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Vipi jirani🤣
Mbona wacheka?
Vipi jirani🤣
Mambo ya kijamii yamebana hadi pumzi ya mwisho mzee.Powa powa kamanda, sijakuona siku mbili tatu.
Uwiiiii
Niliweka picha JiraniAisee..
WeeehHalafu yanabembeleza hatari
Unafika safari yako hujachoka
Simama tumsifu KristoKUACHWA KUNAUMA YEYOTE WA KUNITIA NGUVU
Vuta kiti ndugu yetu Msaga kunguni😂Nafuatilia kwa karibu
Hadi utemwe nikudake
Njoo unifariji vizuriSimama tumsifu Kristo
📱 yako ilikuwa off 😕😕Hutoi taarifa, unaondoka tu 😔😔😔
😔😔😔 Umeukata tayari 😣😣😒😒
Bwana Yesu ni mfarijiNjoo unifariji vizuri
Pole sana MkuuKUACHWA KUNAUMA YEYOTE WA KUNITIA NGUVU
PoleKUACHWA KUNAUMA YEYOTE WA KUNITIA NGUVU
Leta hela nikununulie chakwako 🙂Sis lizzy naiomba![]()
Unawaza ujinga tu Wige😂😂😂😂
Nimemstahi
Nilikuwa nakuonjea kama ni mtamu 😔😔😔😔 Umeukata tayari 😣😣😒😒
😩😩😩😩😩Nilikuwa nakuonjea kama ni mtamu 😔
Hutaki.....????😟😟😟😩😩😩😩😩