Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana mazee....
Ni vizuri kujamiiana ili mambo yaende...
Umenikumbusha Chuo Fellowship.
Mwenyekiti wa Social matter akawa sijui anatangazq kitu gani..nadhani alikuwa anazungumzia kitengo chake Cha Social matter..Si akasema masuala yote ya kujamiiana Na mengine kama hayo😁watu kicheko
Mchungaji akamwambia badilisha bwana,kujamiiana ndio nini?
Akawaambia waumini kuwa Mwenyekiti ameteleza.
 
Allhamdulillah
IMG-20221011-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom