Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Mbona unaishia hivyo Mahaba ndi ndi ndiHuu mwezi hauishi
Mbona unaishia hivyo Mahaba ndi ndi ndiHuu mwezi hauishi
Ushawahi safiri na Bubu?Sawa kabisa
Utafurahia safari
Kichwa kikipata moto hata nyimbo huwa siwezi kusikiliza.Kichwa kimevurugwa?
Una stress?
Una hasira?
Una huzuni?
Uko na anxiety?
Msikilize mmoja kati ya wafuatao
fernando sor, yiruma, kenny g, au fransisco
Utanishukuru baadaeView attachment 2384081
Ushamba mzigo!How much
Uangalii 📽️📽️ nimeleta nzuri 😒
Ngoma drooUshawahi safiri na Bubu?
Mimi kauzu,sura la kutisha,Nakaza mwanzo mwisho.
Fidget spinner,, ni kizuri kukitumia ukiwa nervousUshamba mzigo!
Ni kinini kile kwanza!?
HelloAiSee
AfadhaliNgoma droo
Mimi mwenyewe domo zege
10k tuHow much
Salama tu vipi wewe ?Niaje rafiki
Hope upo poa
Tutakuwa tunasikilizaAfadhali
Kwanza dereva akiwa anaongea sana huwa napata mashaka sana asije kutumwaga.
Kinatumikaje?Fidget spinner,, ni kizuri kukitumia ukiwa nervous
Ni ya watu walionuniana...???🤔🤔Uangalii 📽️📽️ nimeleta nzuri 😒
Unakuta mtu anapokea simu,mara anahangaika kutype,,Aloo mimi huwa namkazia macho mwanzo mwisho.Tutakuwa tunasikiliza
Kinanda cha engine kinavyoimba
Kitanda kipoUnakuta mtu anapokea simu,mara anahangaika kutype,,Aloo mimi huwa namkazia macho mwanzo mwisho.
Mm huwa nalala ati.
Sitajimwaga kama nyumbani.Kitanda kipo
Wewe tu
Unavyonitakia mabaya sasa😁