Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Asubuhi nimewachimba biti.Leo saa kumi jioni
Wakichelewa tena basi watakuwa wameshindikana.
Asubuhi nimewachimba biti.Leo saa kumi jioni
Huyo uliyenaeUnasubiri niachwe na nani?
Huyo uliyenae
KumbeMimi mwenyewe mume matirio
Nakusubiri tu
Maana huu utam nakuhifadhia
Kwema mkuu MALCOM LUMUMBA ! Habari ya majukumu?National Anthem niaje kamanda wangu....
Yesu kwangu ni RafikiNinaye Yesu
Masikio?Acha tu dear
Mie urembo ushanishinda
Vipi umetoga
Njoo unisaidie kuachika basiYesu kwangu ni Rafiki
Na amenifunika na damu yake takatifu
Achika tu nakusubiri
Powa powa kamanda, sijakuona siku mbili tatu.Kwema mkuu MALCOM LUMUMBA ! Habari ya majukumu?
Lol kama mieMasikio?
Sijui hata earing zinavaliwaje
Mimi hata mpango sinaLol kama mie
Sijatoga bado
Mimi natamani yaniMimi hata mpango sina
All the bestMimi natamani yani
Soon tu hapa natoga
Asante dearAll the best
Hadi sasa sijaona umuhimu wake
Unanyoa?🥺Asante dear
Tanesco wameniharibia leo ningeenda kunyoa nywele
Yeah Nina mpango huoUnanyoa?🥺