Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
UsinyoeHapa zinanikera zimejaa tu
Asante dear ..
Nitajitahidi kuzitunza
Raha ya binti ni nywele
UsinyoeHapa zinanikera zimejaa tu
Asante dear ..
Nitajitahidi kuzitunza
Mpe connectionNiungisheni wana SELFIKAView attachment 2383720
Za kibongo kabisa tena kipilipiliEmbu tuma picha tuone hzo nywele zako za kiarabu
AsanteUsinyoe
Raha ya binti ni nywele
Kutoboa masikioKutoga ndyo nn
Hizi ni za Aristote kabisa hiziZa kibongo kabisa tena kipilipili
Aisee poleSijui niliwaza ujinga gani huko eeh Mungu nisaidie![]()
Hahaha hujaziona sasa aiseeHizi ni za Aristote kabisa hizi
Ukipata ya kupunguza nishitue mkuuNiungisheni wana SELFIKAView attachment 2383720
😂DahNiungisheni wana SELFIKAView attachment 2383720
Kwanini? Unavaaje hereni sasaLol kama mie
Sijatoga bado
Sivaai hataKwanini? Unavaaje hereni sasa
Pole sanaSivaai hata
Za kubana ndo navaa mara moja
Nimezoea aiseePole sana
Mm naona kutokuvaa hereni sitaweza kabisa 😂
Pole nenda Kwa sonara akutoboe au unaogopaNimezoea aisee
Niliona mtu amevaa napenda
Alaf na mimi ni sonara mzuri aunt ebu nipigie debe nipate hiyo kaziPole nenda Kwa sonara akutoboe au unaogopa
Naam opposite to st Francis's girlsNilikuwa nashindwa kupatambua ,Ila baada ya kuona ghorofa letu Pendwa,refu kuliko yote hapa mjini..Nikagundua hii barabara ya Matola Mwanjelwa.
Hapo kama Stereo hivi.