Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Halafu yanabembeleza hatariNaogopa mno
Unafika safari yako hujachoka
Halafu yanabembeleza hatariNaogopa mno
Nafuatilia kwa karibuSiachiki ng'oo
Nakamatia hapahapa iwe jua iwe mvua.
Kukaa kwenye mkeka panachosha,uno lote lawaka motoPametuliaaaaaa kinoma noma![]()
Niko poa sanaMarhaba brother Mjep...... unaendeleaje
Green CityMbeya ni moja miongoni mwa Miji iliyojengwa hovyo sana.
Kila mtu anajenga anapotaka,hakuna Barabara.


Lakini pametulia mnooo na panavutia kweli!!Kukaa kwenye mkeka panachosha,uno lote lawaka moto
MamboEendiwoooooooo msukuma!!!

Poa sana Wigee!!Mambo![]()
Kaka angu Sina hata picha mpyaNiko poa sana
Jiselfishe basi madam
SawA ccy nangojaUsitoke hapo sis akee wajua sinaga mbambambaa kabisaaaa!!!
Napita kama nilivooooooo!!!😘😘😘
Wee unazingua nataka selfiii yako bana sitaki majengo mie!!Post kodi
Dakika sifuri sis Usipepese hata kopeeee!!Nipo hapa nakungoja ccy
Nipo hapa ccy