Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,233
Ningeshangaa nikosee hiyo mitaa.Naam opposite to st Francis's girls
Kumbe wewe mwenyeji saana
Mimi nimesoma hapo Sangu,pembeni ya St Francis na hii njia nimeipita sana kwa mbele na nyuma.
Ningeshangaa nikosee hiyo mitaa.Naam opposite to st Francis's girls
Kumbe wewe mwenyeji saana
Naogopa eehPole nenda Kwa sonara akutoboe au unaogopa
Ofisi ipo wapi rafikiAlaf na mimi ni sonara mzuri aunt ebu nipigie debe nipate hiyo kazi
Sis lizzy naiomba [emoji120][emoji120]
PoleNaogopa eeh
Siku nilijaribu hadi nikakimbia
Nilitaka kutoga June mwaka huu Ila nikaumia sikio nikatulia kwanza
Asante aisee sitaki kupania tenaPole
😂anakujaMwambie anielekeze ofisi iko wapi ☺️
Waliwahi?![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asubuhi nimewachimba biti.
Wakichelewa tena basi watakuwa wameshindikana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukipata ya kupunguza nishitue mkuu
Mtoni mtongani ukifika kituo cha basi nipigie😁Ofisi ipo wapi rafiki
Tena mwambie awahi nimchongee vzr 😁Sonara kama sonara 😂kazi umepata aunt
Tinsley njoo sonara huyu hapa
Ooh kumbe hapoMtoni mtongani ukifika kituo cha basi nipigie😁
Aisee..Mimi ni Mama
🤣Unanyoa?🥺
SawasawaNiungisheni wana SELFIKA[emoji23]View attachment 2383720
Hutoi taarifa, unaondoka tu 😔😔😔