reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
DuhhhhSelfika na #voda#
*104*529887370843493#
DuhhhhSelfika na #voda#
*104*529887370843493#
Zimeisha au zinaanzaa?!!!Pole best tatizo unapotea potea sanaa
Pole bestDuhhhh
Kupendwa raha nyie mnikiona Naomba vocha humu mniite mbwa nimekaa pale 👉👉👉👉Wachaaaa
Ndiyo kwanzaaaaaa zimeanzaZimeisha au zinaanzaa?!!!
Weweee haya tutaona😂Kupendwa raha nyie mnikiona Naomba vocha humu mniite mbwa nimekaa pale 👉👉👉👉
Nikishindwa mi naomba chobingooNdiyo kwanzaaaaaa zimeanza
Leo ni bandika bandua










Usijal kwa hilo mkuu nitatuma jicho la yolly yolly ulione hapo yy hapend sana social networkKazi ipo si mchezo huyo yolly yolly inabidi ujiselfishe naye siku moja japo tuone ukucha wake tuu
Enjoy maisha ndo haya haya chief
Pole sana jamanSina hata vocha leo
Nimefuliaje 😣
Mambo VAbee T
Kijana acha uchawi kuachana na yolly yolly 😍😍 ni kifo tuU
Usisahau kumpatia pesa lakini 😅 usije kuachwa haraka kwa sababu za ajabu
“Utaambiwa simu yako inaita vibaya,sikutaki”😂
Umeshatoka huko kwa watu wafupi Malawi 😂😂😂😂Kwendaaaa
Funguo nimeshatoa
Wewe njoo tu uwe yolly yolly na mimi nifaidi kama braza putin anavyofaidi![]()







Asante nduguPole sana jaman
Vocha zote hzo zilizotumwa hujapata hata mojaAsante ndugu
Sikumpea jaman utamu si wako tuu. Anajinadi tu huyo hana chchoteMwee wee sii ulimpea utamu wa mbususu
sijapata hataVocha zote hzo zilizotumwa hujapata hata moja