T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Vizuri sana kama ni kwema kabisa dada LenieNjema kabisa kaka T 1990 ELY
Uhali gani wewe
Mimi niko poa/salama kabisa mkuu
KARIBU
Vizuri sana kama ni kwema kabisa dada LenieNjema kabisa kaka T 1990 ELY
Uhali gani wewe
😊😊😊 Mlangoni naingia
Ameniruhusu nije nimalizie mimi
Imesimama itakuwa inalea mzee
Ooh!!kumbe kuna mwenzetu alipanda maji ndani ya miezi tisa na tayari kashavunaImesimama itakuwa inalea mzee
Hhhmm...labda kama kuna mtu kaiba password yake 😏😁Ameniruhusu nije nimalizie mimi
🙇🏾♀️🙇🏾♀️😊😊😊 Mlangoni naingia
Asikaribie kabisa 😒😒😒Hhhmm...labda kama kuna mtu kaiba password yake 😏😁
Uchoyo huo🤣🤣Asikaribie kabisa 😒😒😒
Siku ingine basi tutakukaribisha sio leo😒😒Uchoyo huo🤣🤣
Vema kaka
Usisahau kumpatia pesa lakini 😅 usije kuachwa haraka kwa sababu za ajabuMapenzi ninayopewa na yolly yolly 😍😍 Sina haja na vocha 😂😂😂😂
UniBipuPolee
Kaa hapa usitoke
Tatizo unapotea sanaa
Usisahau kuselfika
UniBipu
Haki bado sijala ...![]()
unasubiri nini sasaKuna mtu kaniwahi tena aiseTayari nimeshakubip
Pole best tatizo unapotea potea sanaaKuna mtu kaniwahi tena aise