National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Mie ni katibu 😄😄😄Mhm wee mwenyewe utamu waninyima....alafu huyo jamaa sii ana lizzy kwa nini anaparamia warembo wa wengine
Mie ni katibu 😄😄😄Mhm wee mwenyewe utamu waninyima....alafu huyo jamaa sii ana lizzy kwa nini anaparamia warembo wa wengine
Tunashukuru kwa kuona na kutambua mchango wetu mzuri katika ujenzi wa nchi hii mdogo wangu😍
Mwee wee sii ulimpea utamu wa mbususuHakunambia jaman kwanza mwnywe me nilikua simtaki alikua anajilazimisha tu kwangu😒😒😒
Next project ni pale Iwambi mdogo wangu tutapasawazisha yaani hutaaminiMmeupiga mwingi sana
Hii barabara ni moto wa kuotea mbali
Kutoka pale Mpemba hadi Isongole boda ya Malawi barabara ilikuwa haipitiki mvua ikinyesha.
Yaani kona,milima wameiua hadi nikawa nashindwa kutambua maeneo.
Next project ni pale Iwambi mdogo wangu tutapasawazisha yaani hutaamini
Ngoja aje Putin kutoa laana zake uchwara😂😂😂😂Selfika na #halotel#
Ubarikiwe BossSelfika na #halotel#
Ana gundukajichimbia wapi sijui
Carrasco putin wahi huku mkuu
Ankoo upo 🙂🙂Ubarikiwe Boss
🤕🤕🤕🤕🤕Lizzy na mimi naomba aunt
🙏🙏🙏🙏Ubarikiwe Boss
Braza leo natembelea nyota yako tu🤕🤕🤕🤕🤕
nipo ,shikamoo UncleAnkoo upo 🙂🙂
Keki yangu, ipo kiduchu, labda akupe kesho 😬😬Braza leo natembelea nyota yako tu
Hamna namna😀
Marahabaa ☺️☺️ waendeleajenipo ,shikamoo Uncle
Mapenzi ninayopewa na yolly yolly 😍😍 Sina haja na vocha 😂😂😂😂Ngoja aje Putin kutoa laana zake uchwara😂😂😂😂