Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Wanaume mmekua matapeli sana wa mapenzi sikuhizi, hamuaminiki kirahisiKwani na wewe kweni ni kule marangu mtoni? Maana hutaki mchezo unataka na funguo ushike kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
We nipee tu funguo leo leo ndio nikuamini
