Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
naendelea vyema vipi wewe ?Marahabaa ☺️☺️ waendeleaje
naendelea vyema vipi wewe ?Marahabaa ☺️☺️ waendeleaje
WachaaaaMapenzi ninayopewa na yolly yolly 😍😍 Sina haja na vocha 😂😂😂😂
😂😂😂 hapana chezea yolly yolly .Mapenzi ninayopewa na yolly yolly 😍😍 Sina haja na vocha 😂😂😂😂
Ubarikiwe sana boss kwa upendo wako Ila sshv nipo busy na yolly yolly 😍😍 🥰🥰🥰🥰 najiona wa thamani ktk hii dunia 💞💞💞💞 kuwa na malkia wangu tabibu wa moyo wangu tulizo la roho yangu yolly yolly 😍😍😍kajichimbia wapi sijui
Carrasco putin wahi huku mkuu
Katibu wako anapita nae😬Ubarikiwe sana boss kwa upendo wako Ila sshv nipo busy na yolly yolly 😍😍 🥰🥰🥰🥰 najiona wa thamani ktk hii dunia 💞💞💞💞 kuwa na malkia wangu tabibu wa moyo wangu tulizo la roho yangu yolly yolly 😍😍😍
Usimtishe kijana 😃😃Katibu wako anapita nae😬
Kazi ipo si mchezo huyo yolly yolly inabidi ujiselfishe naye siku moja japo tuone ukucha wake tuuUbarikiwe sana boss kwa upendo wako Ila sshv nipo busy na yolly yolly 😍😍 🥰🥰🥰🥰 najiona wa thamani ktk hii dunia 💞💞💞💞 kuwa na malkia wangu tabibu wa moyo wangu tulizo la roho yangu yolly yolly 😍😍😍
Na wewe si uwe yolly yolly wangu jamaniWachaaaa
Nishawishi basi ili nione kama nitaenjoy hoti ravu hadi nisitamani tena vocha na mimiNa wewe si uwe yolly yolly wangu jamani
Una vidole/kucha nzuri Carleen
Mkuu T 1990 ELY upo njema sana.. Umeona kitu hicho ukifanyie vettingMzuri wewe Sakayo
Ndo nishakushawishi hivyoNishawishi basi ili nione kama nitaenjoy hoti ravu hadi nisitamani tena vocha na mimi
Naomba funguo kabisa nizishike 😂Ndo nishakushawishi hivyo
Maana kibanda cha vocha nitakukabidhi choote 🤣🤣
Kwani na wewe kweni ni kule marangu mtoni? Maana hutaki mchezo unataka na funguo ushike kabisa🤣🤣🤣🤣🤣Naomba funguo kabisa nizishike 😂
Kama ni hivyo basi ushanipata, sema lingine chalii angu
Umepata vocha uni call baadaeUbarikiwe Boss
Nimeona nyamaEleza ulichoonaView attachment 2376889