Mzeya hujaniambia umerudi kwa mtoto lizzyTutapiga songesha 😔😔😔
Mzeya hujaniambia umerudi kwa mtoto lizzyTutapiga songesha 😔😔😔
Madeni yatatuzidia bana 😟Tutapiga songesha 😔😔😔
Hamna kumpa 😒😒Muombe National Anthem password kama atakubali 🙂
Braza hawezi kunipa😆😆😆Muombe National Anthem password kama atakubali 🙂
Toka umepata kazi umenitenga mwanawane 😄😄😄Mzeya hujaniambia umerudi kwa mtoto lizzy
No way braza nilijua nitaambulia za uso tuu😀Sorry Mjep boss kakataa 🥴
Utatumalizia bundle letu😕😕Braza hawezi kunipa😆😆😆
Mi ngoja nisubiri lunch tu hapa nile kwa picha nisepe hivi👉
Tunashukuru kwa kuona na kutambua mchango wetu mzuri katika ujenzi wa nchi hii mdogo wangu😍Waliopangiwa kujenga huu mkeka waliupiga mrefu.
R.i.p Magufuli
Ukipita hii barabara ukarudi mjini,unaona barabara ya mjini si chochote si lolote.
Anakuwaga mchoyo sometimes 😵😵No way braza nilijua nitaambulia za uso tuu😀
Penzi la bando🤷♂️
Mhm wee mwenyewe utamu waninyima....alafu huyo jamaa sii ana lizzy kwa nini anaparamia warembo wa wengineJaman mahaba yetu si yalikua week iliopita leo ni zamu ya mzabzab 😁😎
Haya mapenzi ni baab kubwa😃Nishamuacha jaman
Mapenzi yetu yalikua ni ya week iliopita😁🏃♀️
Hapa utulie japo mwezi mmoja mdogo wangu hii wiki moja si itakua balaaJaman mahaba yetu si yalikua week iliopita leo ni zamu ya mzabzab 😁😎
😏😏😏😏Jaman mahaba yetu si yalikua week iliopita leo ni zamu ya mzabzab 😁😎
Hakunambia jaman kwanza mwnywe me nilikua simtaki alikua anajilazimisha tu kwangu😒😒😒Mhm wee mwenyewe utamu waninyima....alafu huyo jamaa sii ana lizzy kwa nini anaparamia warembo wa wengine