BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Big up mkuu.! naona unapata na kikombe chai hapo
Big up mkuu.! naona unapata na kikombe chai hapo
😂😂😂😂😂Muweka hazina jamani
Chai wapi me nilikuwa nakunywa zangu maji ya moto 😊Big up mkuu.! naona unapata na kikombe chai hapo
Kwahiyo ulitoka nyumbani like "I know my car"Mkuu hali mbaya....hakuna dalili ya kuchomoka hapa.




Mkuu tumiguu twangu kama miwa ya nyongeza jamani!! Iwache niifiche tuu
Leo naumwa sana Wakuu,dua zenu.
Mkitoka jumuiya msisahau kujifotoa jamani!!
Wenu katika ujenzi wa uzi,
Sakayo!
Tatizo giza bana
Ningetupia hata kiatu
Humu jukwaani, au tumuombe mshana aanzishe uzi wa audio na videoHahahahahaha
Niitupie wapi eti jamani kaka


Haya mambo yaache kama yalivyo Mshana, Mungu fundi sana na udhaifu wetu upo hapo tu... Safisha macho kidogoView attachment 1258289



Pole mkuu,uko wapi tuje kukuona?
Baby tulia basi, si wewe ndio umenichelewesha na morning glory zakoUmedanganya![]()

MkweBaby tulia basi, si wewe ndio umenichelewesha na morning glory zako![]()
Tunaomba kumuona mwandishi
Faki nudiUrembo mwingine nuksi tupu... View attachment 1258314
Wewe ni mzee mama au mzee baba?Tatizo unaingia humu na kutoka. .![]()
Baada ya kusuuza rungu au kabla ?. Safisha macho kidogoView attachment 1258289