Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,041
T
Basi tu nimekumisUnataka tukutane ili iweje eti shemeji!
Basi tu nimekumisUnataka tukutane ili iweje eti shemeji!
Usijali kabisaaMimi unifundishe na maana zake
Hahah...you're funny my...sijui ulikuwa wawaza nini





Ha ha haaa zile fuvu nikakhofu.hayo "matembele"...hatariiii
Hizo si ni miraa ama?!Hivi huwa zina majina kweli? anyway i ment ni hatari hiyo bidhaa kaweka hapo...
Unaijua mirungi?
Unaongea na nani eti mkuuHuwezi kuelewa
HahahahahahaTBasi tu nimekumis
Hii picha imepigwa toka ghorofani liwali street uswahilini, mtaa wa pili baada ya masjid riadha.
Sijali anza sasaUsijali kabisaa
Weekend ndo hii na mpango ndo huo nishauseti kabisaa. Mwenye kuuhitaji aje Dm nimpe handle. Msije Sema Ooh wana hawatoi koneksheni Mara hivi Mara vile. Njoo PM ukajiponee bila kwere,maana katikati ya mwezi kutoa hiyo laki bila kuzama upande wa pili hapana kwa kweli.
View attachment 1258014
Unaongea na nani eti mkuu
Hahahahahaha
Miaka kumi ijayo
Ni hatari kwa Tz ila huku tunakula tukiwa matembezini sio huko mpaka mjifungie chumbani mtu akigonga handasi yote inahama kwa muda dah.Hivi huwa zina majina kweli? anyway i ment ni hatari hiyo bidhaa kaweka hapo...
Unaijua mirungi?
Ha ha haaa zile fuvu nikakhofu.
Tembele hilo na leo hali ina ruhusu ni kukesha tu
Pole sana..Mungu akufanyie wepesiLeo naumwa sana Wakuu,dua zenu.
Hizo si ni miraa ama?!