CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Ni kweli hapo ndo nataka nizikate nikaona nipate kaselfie sema wew una nongwa sana😂😂😂Kucha ndefu
Mdomo koma![]()
🤣🤣🤣Njoo nikuoneshe niliposhikaUmepashika wapi hapo![]()
Acha utani hawez kuwa na hizo tangawiz 🤣🤣🤣Mbona vidole kama vya my baby mama![]()
Kuna Bagia.. pia Kachori!Mpwa
Shimba ya Buyenze nduguzako wakarimu sana nimeletewa dengu mapema Cha ajabu sijui Zinapikwaje 🤣🤣🤣 nimeona aibu kuuliza
Antonnia uje unifundisheView attachment 2364452
Nasikia hizi dengu zinaleta hamu ya kufanya mapenziMpwa
Shimba ya Buyenze nduguzako wakarimu sana nimeletewa dengu mapema Cha ajabu sijui Zinapikwajenimeona aibu kuuliza
Antonnia uje unifundisheView attachment 2364452
Kote huko madam jamaniiii!!🙄 Niwekee one time ufute madamAu tusubiri mida yetu mwambie aunt coca aniandalie kapicha kazuri
Nitaomba uandae jina 🤣🤣🤣maana ninausongo balaa Yani nitapika pilau siku ikiingia 😂😂😂Nasikia hizi dengu zinaleta hamu ya kufanya mapenzi
Haya kula shemeji tukutane mwezi wa 5
Vidolee lainiiiii😍😍😍😘😘😘
Natka bagia kupika naweza lkn natumiaga unga ule special kumbe hiz naweza saga tu nikapata unga?Kuna Bagia.. pia Kachori!
Pia unaweza kutumia dengu nzima pia kama mboga unaunga kama ufanyavyo maharage lakini uhakikishe moto hauwi mkali sana maana hazikawii kuiva!!
Lakini pia wengie huutumia katika kung'arisha na kulainisha ngozi! Madam
Ndioo ndiooooooo sis watoto ni baraka!!!!😍😍 Waleteeeee kina aunts waleteee!!Nitaomba uandae jina 🤣🤣🤣maana ninausongo balaa Yani nitapika pilau siku ikiingia 😂😂😂
Ndio madam!Natka bagia kupika naweza lkn natumiaga unga ule special kumbe hiz naweza saga tu nikapata unga?
😂😂😂Nitake radhiAkuuu naogopa usiwe umeshika tango![]()
Nitaomba uandae jinamaana ninausongo balaa Yani nitapika pilau siku ikiingia
![]()








muite Carrasco mm mstaraabu sanaKabisa na hivi nimechelewa chelewa nitapiga double double mwaka mimba mwaka mtoto😂Ndioo ndiooooooo sis watoto ni baraka!!!!😍😍 Waleteeeee
Tuma full picha nioneNitake radhi
Kumbe nilikuwa sijui aiseeNdio madam!
Zaa mapema umalize kabisa madam!Kabisa na hivi nimechelewa chelewa nitapiga double double mwaka mimba mwaka mtoto😂