Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

cocastic mdogo wangu[emoji23]

Si nilianza hile story kule[emoji23]

Mja mmoja akanifuata pm kunipopoa kwanini nimeweka nusu[emoji23]


Na kwenye uzi wakaanza,nikauedit nilifuta nilichoandika[emoji23]

Najijua mwenyewe siwezi kuhimili maneno ya waja,story itaniliza mie nitaishia kulia tu siwezi[emoji23]

Chap nikamfuata mods nikamwambia anifutie uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaaa nimechekaaaa mnooooooo.

Mwenyewe watu wanakuja PM wanataka story of ma life, na nitumie ID hii. Woiiiiiiiiiih

Yaan huwa nachekaaaa had bas lol. Wee heka heka huziweziiiiii
Tuachie wakali wa hizi kazi, weuweeeeeeeee!!!!!

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom