hahaha sishindwiUshindwe nikiwa na hela huwa sipend kukaa na watoto wakike karibu najijua 😂😂😂









Sawa meneja 🤣🤣🤣You wish 😂😂
Niko busy na blue monday niache
Jamani poleeAlafu nyie hamuoni muandiko wa kiume kabisa, kuna dada mmoja humu namtazama tu kuna mahala kaniita live dada huku anajua mie ni Me.. Namvutia pumzi.. aingie kwenye boksi, nimuwashe![]()
Sio kupenda kwangu lakiniYani Vale ukaamua kabisa kuniita Ke?

Sijui hata alikuchukuliajeYani Vale ukaamua kabisa kuniita Ke?
Hahaha, hajaona shwazniga eti. Au vile yupo Sibeko ndio kachanganyikiwa.Sijui hata alikuchukuliaje
Wakati sisi wa juzi tumefika na kuona jina la Eli Tena pale juu yupo Shwaziniga
Hebu achia ule uchebe kwanzaHahaha, hajaona shwazniga eti. Au vile yupo Sibeko ndio kachanganyikiwa.
Wanasema uselfikeMnachat kuhusu nini?
Mbona kama mnagombania jinsia 🤣
Kama nawajua vileDunia mapito mapitoView attachment 2361732View attachment 2361733
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mnatakq kuona pati gani?Wanasema uselfike
Twende tour mwezi wa 12 jichange mapema kbsahahaha sishindwi
ndo tutatembea ile safari yetu ☺
Kati kati ya mapaja na kwenye kitovu ikifaa na nyuma ya mgongo kwenye kiuno na mstari wa ikwetaMnatakq kuona pati gani?
Komwe😎Mnatakq kuona pati gani?
Kanumba na SajukiKama nawajua vile
Dahh aisee hakika Dunian tunapita tupendaneKanumba na Sajuki