ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,634
- 127,279
Ni woga, hutaki au kuoa sio fungu lako?[emoji1783][emoji1783][emoji1783] Dah! Jiko tena, msala huo
Ni woga, hutaki au kuoa sio fungu lako?[emoji1783][emoji1783][emoji1783] Dah! Jiko tena, msala huo
Sawa mdogo wangu ujumbe umefika,
Tafuta hela [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Mjep ana nyota ya kimahaba nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww boss Mjep
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nitumie hyo barua pm 😎😎Sawa mdogo wangu ujumbe umefika,
Ngoja nitume barua posta,
Aaaaah waaaaaapi[emoji12]Huyu Mjep ana nyota ya kimahaba nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww boss Mjep
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]atakutumia mwenyewe mzee wa mchongoNitumie hyo barua pm [emoji41][emoji41]
Basi nenda kwa mwaposa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela hazinipendi Kwanza nikiwa na hela siku 2 zimeisha ndyo maana sitak kuwa na hela najijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo yanahitaji kujisalimisha,Ni woga, hutaki au kuoa sio fungu lako?
niite hizo siku 2 , tuone unavyotumia 😂Hela hazinipendi Kwanza nikiwa na hela siku 2 zimeisha ndyo maana sitak kuwa na hela najijua 😂😂😂😂
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️ Una mnyimia basi ndio maana anachepukaBado yupo lodge anatafuta U T I[emoji1435]
Unisamehe bureNilishashuka mkuu, niache dogo tamaa mbaya. Leo nafanya utalii kidogo, huku kuna kuku wa kienyeji wa kutosha.View attachment 2361397
Alafu nyie hamuoni muandiko wa kiume kabisa, kuna dada mmoja humu namtazama tu kuna mahala kaniita live dada huku anajua mie ni Me.. Namvutia pumzi.. aingie kwenye boksi, nimuwashe 🤠🤠🤠Unisamehe bure
Nilijuaga we wakike jamani
Mweeeeeeeh mzab ni kaka tu kama kaka wengine[emoji2815][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297] Una mnyimia basi ndio maana anachepuka
Huyu ana nyodo sana sii kwa sababu sina hela. Sii unajua tena mwanawane hukiwa unakuna pumbuz wanawake wanakutukana watakavyo
Ushindwe nikiwa na hela huwa sipend kukaa na watoto wakike karibu najijua 😂😂😂niite hizo siku 2 , tuone unavyotumia 😂
Yani Vale ukaamua kabisa kuniita Ke?Unisamehe bure
Nilijuaga we wakike jamani
😀😀😀.. Ndio maana acha nipambanie hawa wasaidizi wa kazi za nyumbani, leo bi mdashi kaleta wengine wawili, nahisi competition na madogo itapunguaHuyu ana nyodo sana sii kwa sababu sina hela. Sii unajua tena mwanawane hukiwa unakuna pumbuz wanawake wanakutukana watakavyo