Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unanunua simu imesha shikwasikwa na mikono ya wabongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwasha ina history za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ilikuwa ndani ya box au nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni aibu yani
 
Nitakushangaza dogo shauri yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220919_091704.jpg
 
Ulikua na mgeni?
Au uliamua tu kujifurahisha kwa kula vizuri

🤣🤣🤣
Tangia lini mwenye stress akalala saa 2
Ndio nimeamka tangia nilale muda ule
Jinsi gani usingzi ulinoga sababu nina utulivu mwilini na moyoni😅
Sikuwa na mgeni… niliamua tu kujipikilisha nione kama bado nakumbuka 😅😅


Wenye stress mnaingia kitandani saa 2 mnaenda kulia 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom