Ni jambo la kihisia mno, jambo lililo ndani ya moyo kabisa lisilotoka na ambalo hujirudiarudia kila Mara! Ni kuhusu wema uliowahi kutendewa na mtu baki halafu ukaahidi kimoyomoyo kumlipa lakini isiwezekane kwakuwa hujawahi kuonana naye tena au pengine keshafariki. Nakumbwa na hiyo hali...