Selfika na JF: Snap it. Show it

haha mliwakomesha hao suma
pole kwa usumbufu sikujua mnapat shida hivyo
 
Lakini fikra tofauti zinaweza kuwa sahihi tofauti na kile kilichopo unajua kuna uhalisia alafu na ukweli


Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Atajua yeye mpk hapa asiponisamehe,baasi I'm goin to move on na siku atakayotamani kurudisha urafiki atakuta Sina mda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mungu yuko tayari na anasubiri kumsamehe mtu anaye omba msamaha imeandikwa Zaburi 86:5 "Kama wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…