Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,973
- 26,960
Haya ccy tupia Moja hapo ya chakula Cha mchaHelloowww sis!😘😘! Miss you much more dear!!
Haya ccy tupia Moja hapo ya chakula Cha mchaHelloowww sis!😘😘! Miss you much more dear!!
Niache nimeshapona mm 🤕🤕🤕Vyetu vyetu vimekataliwa milembe😂😂😂Cha Carrasco putin kimipigwa lamination mbili wanaogopa sana
sasa tufanyaje usahau dah🤠🤠🤠 Pole haipozi kitu jamani
🤣🤣🤣 huku chai mwa mwi.Vitu vya msingi vinaishia wasap tu, huku sisi sote tia maji tia maji
Kua single enjoy pesa Ako unakula na landlord pekee sio vichunchudeSingle again 🤕🤕
Umetaja Ghorofa la Masaki, isingekuwa kukutana na Vijana wa Mjini saivi ningekuwa nalo hilo Ghorofa.Ubarikiwe sana Tajiri mzee
Mzee mwenye ghorofa masaki
itapendeza.ukiweka hata hy. Na uki ni tagsina picha mpya labda ya zamani niiweke baadae
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sis akili zako sometimes 🤣🤣 !!Sipashagi makabeji kacheze unakochezegana.
Na nikiona bichwa lako najionea kasheshe
Kata sim Kata sim Niko site
Akienda kujinyonga aende na kisu mfukoniCarrasco putin usikubali jinyongeeeee
Naomba 🤦🍑💆💆💆sasa tufanyaje usahau dah
Usijali, hapa nasubiri Kanzu yangu ikauke niselfike manake Jana nilifedheheka sana kwenye Ile Jeans niliyovaa 🙈Nasubiri uselfike![]()
siku nikiwa na visenti nitaingia paleKhaaa huko maji makubwa 20000 hapana aisee
pole sana
Sema yule wakati anakuandama akaniingiza na mimi ashukuru alikuta sina maruwe ruwe kichwani
Ikogo tu a very nameless day, atatolewa mtu mafuana vitumbua vitaingia mchanga









wee yuleeee alinitakaaaaaa ila kanikutaaaaa sina hulka na magume gume ya duniani, mwanzoni kabisaaaa alikuwa anakuja kwa space, nakumbukaa had aaanze bifu, eti alitaka story of ma lifeee,. Na nime date na watu wangapiiiii?? Kheeeeeh nkaona huyu analeta mambo meusi. 









😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sis akili zako sometimes 🤣🤣 !!
Hyo pesa yenyewe ninayo sasaKua single enjoy pesa Ako unakula na landlord pekee sio vichunchude





Nyie wazee mna hela sana tatizo mmekua wabahiri sanaUmetaja Ghorofa la Masaki, isingekuwa kukutana na Vijana wa Mjini saivi ningekuwa nalo hilo Ghorofa.
Shida hao Vijana wa Mjini si waliniuzia Kiwanja pale Coco Beach Maji yakiwa yamekupwa, Ile baadaye napeleka mafundi kuanza Ujenzi si nikakuta Uwanja umejaa Maji![]()
Haya mambo sasahivi ni kama kubetiunashanga unatoboa kizembeee
![]()









kupendwaaaaaaa raha. Hasa ile ya ukweli.Nimecheka kama chizi haha😂😂😂😂