Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwingine tena πŸ™†β€β™€οΈ
Sasa wanakutafutia nini kila uchwao?

Upande mwingine wa dunia ukoje 🀣🀣🀣🀣🀣
 
[emoji87][emoji87][emoji87] nimeumbuka live
Naondoka huku nikiweweseka kiwenda wazimu....[emoji125][emoji125][emoji125]
Weee Mr vochaaaa, Umma wa JF unatambua kwamba mie natamba na vocha za buku buku kutoka kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya nitumie hizo vocha nitambeee zaidi,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nilimfurahisha mbonaaaaaa. Watu wamevurugwa na lifeee, wanataka kupumzikiaa kwangu, wananijua wananisikia????


Uwiiiiiiiiih
Hawakujuiiiii wanakusikiaa tyu shoste akee!!! Waingie kizembe uwanyooshe akili iwakae sawa kwanza hahaha!!
This is jf banaaa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu waliovurugwaaaa ndo nawatakaaaa niwatulizeeee, watu wanalala pazuri,wanakula vizuri, wanakunywa vizuriii, wanaishi expensive life, yaan hawana shida ndogo ndogo.

Ila sasa mie nawatesa, yaaan wakinisikia na kuona comments zangu, furaha na amani kwao vinayeyukaaaaa, yeyuuuuuuuuuuu!!!


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], km kunichukia hawawezi basis wanipendeeeeee hata kinafiki hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…