Selfika na JF: Snap it. Show it

🀣🀣🀣🀣 you nailed it πŸ”₯
 
kuna mtu kanikatazaaa umbea, cha ajabu sasa umbea unanifata wenyewee na una nitiiiii.

Tulia kwanzaaaaaa.
Mbonaaaa nimetuliaaa Hakyanani kupatwa kwa cocasticccc🀣🀣🀣🀣🀣🀣!
Sasa hakujua wee mafia mdeadly ulieshindikana kabisaaaa alipatajee ujasiri kufata hiko kichwaa mbovu Akili zako unaezijua mwenyeweeee hahahahah!!
 
Nature iko hvyoand we can't change

Then kwenye machaguoa hakuna mkamilifu my dear,angalia Kati ya zile
amekidhi ngapi?we unahitaji Nini ?maana ukitaka mwenye vyote hayupo
Na kukaa kumsubiri kwa Sasa ni wachache wanapatikana kwa staili hyo,waweza ukawa upo jf kumbe ndo wako Mungu amekupangia umpate humu hvyoo,so popote mpenzi wa kweli anapatikana muhimu bi masharti na vigezo ,ukiona hakidhi we mteme tuuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi mwanaume ni kichwa cha familia.

Ila hapo kwa mwanaume ameumbiwa wanawake wengi naona kama tunawaendekeza na kukubali kukandamizwa sababu kuna mifano mizuri ya wanaume ambao ni wameweza kutulia na mwanamke mmoja na wamekua waaminifu.
Wapo Ila wachache Sana kwa hizi life zetu hizi!
Yaani na kuwapata ni 1 Kati ya 10000 aseehh!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Clapping for your bright mind πŸ‘
 
Wasiooa ni wa jf Ila mitaani km kawaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…