Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaweza ukachagua kumbe yeye hakuelewi [emoji23]mwanaume yuko makini kwenye hiyo sekta kuna vitu anavyo viangalia ukigundua ndo utamshika
Emu basi tutajieni vitu gani uwa mnashikikaa

1. Utulivu na utu
2. Usikivu.. mkikataza kitu tukatazike, mkiomba mpewe..
3. Endelea kutaja
 
Hii Samsung inabidi niigawe,
Nibaki na Tecno.

Yawezekana ndio maana sipati hela maana watu wanahisi tayari nina Hela🀣
 
Hii Samsung inabidi niigawe,
Nibaki na Tecno.

Yawezekana ndio maana sipati hela maana watu wanahisi tayari nina Hela🀣
Kd alisema hapendi A series 7bu chata Samsung limewekwa nyuma 🀣🀣🀣


Wanadhani unazo hawakupi madeal 🀣🀣
 
Kd alisema hapendi A series 7bu chata Samsung limewekwa nyuma 🀣🀣🀣


Wanadhani unazo hawakupi madeal 🀣🀣
Yule naye 🀣usasa mwingi.

Watu wanajua nina hela...Halafu Samsung nzuri nilibadilishana na Tecno ya mtu.
Nimebaki na kisamsung Cha kuungaunga ila watu bado wanahisi nina HelaπŸ˜‚πŸ’”
 
Yuuuuh oledeeeee???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikuchachueeeee!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…