Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una hizo tabia nini? Kufatilia X anafanya nini currently? Kama unazo uache ni ushamba didi 😂😂

Ushamba mbaya kama huo nikijua unafanya nitakutandika 🤣🤣🤣

Carrasco putin hongera kwa kuachwa 😂😂😄 na pole kwa maumivu yatokanayo na muacho.
Mfute eee? Ukiacha uendelee kumuona utapata kiherehere cha kuendelea kumfatilia. Na ukifanya hivyo utachakaa kisaikolojia 😆
Naanzaje kufatilia X nipate ugonjwa moyo nikufe kabla ya siku zangu akuuu 😂😂😂

Mweee kuchakaa kisaikolojia ndio kukoje huko didi ake🤣🤣
 
Asante D
 
Screenshot_20220915_111210_com.google.android.youtube_edit_67742244664141.jpg
 
Naanzaje kufatilia X nipate ugonjwa moyo nikufe kabla ya siku zangu akuuu 😂😂😂

Mweee kuchakaa kisaikolojia ndio kukoje huko didi ake🤣🤣
Safi sana 🤣
Aiii Exi hafuatiliwi bana

Ukichakaa kisaikolojia 😂😂😂 ni mbaya sana didi.. usiombe ikukute 😆
 
Back
Top Bottom