Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ni sawa na Tsh. 100m
Na kuna hii.. Jichagulie tu hapo
Screenshot_20220915_084227_com.instagram.android_edit_59814998660663.jpg
 
Ulirudi kulala saa 12 wakati ni muda wa kuanza kuteseka 😂
Ushuani vs ushuani 🤣😂

Nilirudi kitandani.. saa 1 kasoro ukarudi, nikachemsha chap.
Saa 1 na dk 4 nakumbuka ndio niliweka simu kando nikaenda kuoga na kujiandaa..

Na nikawahi vile vile
 
Back
Top Bottom