Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Chapa kabisaa my dearNamchapa mimi[emoji1787][emoji1787]
Chapa kabisaa my dearNamchapa mimi[emoji1787][emoji1787]
Hapana jamanii[emoji1780]
Mama aliniambia nisicheze na wanaume mimi
Wamekutuma eeehhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona Osama!! Uko wapi sasa eti??
Sipo Kilema mimi ujuee
Nisamehe mimi jamani!
Unanionea mimiBahati nzuri minara ya simu ipo...
Labda utupe line leo..?
Najuaaa venye umenimiss mimi jamani!Si inajua vile nimekumiss mama Naah
Nakuona Osama!! Uko wapi sasa eti??
Niko singoKama ushamuacha yule kibabu niambie ili nikamilishe mipango ya kukuwowa Kigori.
Najuaaa venye umenimiss mimi jamani!
Unanionea mimi
Kwani mekukosea nini eti jamani!
Hallelujah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi nicheke kihabeshi,, kwahiyo mimi unaniona mlaini??[emoji2296][emoji2296]
Sitaki kuongea sana ila katika shule zote nilizosoma sijui ni shule gani ambayo sikuacha rekodi ya kuwa mpenda kula na bado naendelea
Chapa kabisaa my dear
Mbona unaniwinda etiHujakosea.. mama Watoto wangu..
Niko singo
Wamekutuma eeehhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unaniwinda eti
Hukunielewa.Hahahaha kumbe huwa mnaoa mionekano eti??