Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Watasalimika jamani my dearHahaha...wasalimie magoroto my sweet potato...
Watasalimika jamani my dearHahaha...wasalimie magoroto my sweet potato...
Kisa nini mkuu ?Jizazi hadi nimetetemeka.
bienvenida senoritaUnipitie na mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usidanganye watu aisee.
Naomba jero tu mimi
[emoji120][emoji120][emoji8]bienvenida senorita
Ameninyang'anya haki zangu sa msingi nyingi sana.Hahaha ila we Dada wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Yaani wabishi mnooooHahah tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasema hiviii, niko muheza mimii
Bora wewe ndio ungechukua umodo.We ulivyoamua kuwa kamodal ulitegemea nini? Tulipewa kulingana na miili yetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 msicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha Mimi piaHahahahahaha
Maumivu bado niko nayoo
Ewaaasiaradibii ya Muheza pale bondeni karibu na soko kuu
Hivi na wewe unaendaga mazoezi?
MmmhhhHahaha Mimi pia
Ulinichanganya ndomana ikabidi nije juba; kushika silaha.
Bunduki ndo kawa mke wangu sasa.
Nianze kukuita wifi yangu eeehhh
Hehhehe wapi haiba leoooooo
Ulivyoniita + hiyo pic na sehemu nilipoKisa nini mkuu ?