Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,843
Huwezi kuacha kirahisi hivyo.
Sema umepumzika 😂
Huwezi kuacha kirahisi hivyo.
Vipi kuhusu weweHulali[emoji116][emoji23]
Mimi pia nimetoka hukoNimetoka kuvinjari
Aiseee kweli kazi yenu njema...kumekucha salama
Hahahaaa we nipe mtoko ndo utajuaMjedaaa weeeh naona upo Congo sijui sudan [emoji847][emoji847]
Hakikaaa pongezi ziende kwa serekali yetu hii ya awamu ya 5...awamu za nyuma walishindwa kabisa [emoji23][emoji23]
Leo mwili unagoma kutoka kwa bed sijui Mshana Jr alipita huku midnight.
View attachment 1257215
Wale wazee wa kukataa vitambi tujuaneView attachment 1257205
Hahah acha tuu broWatu na marathon zenu..
Waaachaaaaa
Hey dear [emoji73], morning [emoji8][emoji8] n [emoji847][emoji847] to youWaaachaaaaa