myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Hii ni sawa na Tsh. 100m
DEti jirani mnapenda kudatishwa?
Ule uzi wao wa hiyo vita hata huwa sielewi😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nyie hapo mambo yenu ni vituko.Jamani jamani Coca, umeona nini huko Mwanjelwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema umeona nini Coca?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nyie hapo mambo yenu ni vituko.
Mwenyeji naomba nije kula, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Lunch....?
View attachment 2356701
Hata usijar ntakubebea nyingi mnoooo.cocastic usisahau kunibebea hii kitu[emoji39]View attachment 2356736
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Naambiwa mie mrangi au mnyaturu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema umeona nini Coca?
Yule kiumbe yupo alikucheki sijui hujaona? ..clnAbee
Nimeona 😂😂Yule kiumbe yupo alikucheki sijui hujaona? ..cln
GoodNimeona 😂😂
Niko nae tsap
Muulize vizuri mama yako 😂Naambiwa mie mrangi au mnyaturu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ungoni nasingizia, mwingne eti anasema nna lafudhi ya kichaga.
Yaan full kushangaa mie, uwiiiiiiiih
# 7Kama hujaelewa uliza[emoji3590]