Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Hata mwenyewe nimeona hilo😂🤣🤣🤣 hujawahi kupenda wewe itakuwa
Anahitaji darasa
Hata mwenyewe nimeona hilo😂🤣🤣🤣 hujawahi kupenda wewe itakuwa
Weee acha kabisa didi ake 😂 😂Yanapungua 🤣🤣 ila yakiamua kurudi,, yanarudii na utawehuka upyaa
Hayato wasaidia hayo sijui mnaita mapenzi.. Yatawavunja moyo tu bure. Mpende mtu weka mipaka, kuwa jasiri.. Upendo haufurahi uovu.. Na unapo cast out uovu upendo haina masikitikoTakataka 🤣🤣🤣
That's cold!
yes dearSurely dada mpole 💕
Kuongea kunapunguza uchungu na kitu kilichokukaba kooni… na hasira pia
Hua yanasaidia hasa ukimpata mtu mwenye real loveHayato wasaidia hayo sijui mnaita mapenzi.. Yatawavunja moyo tu bure. Mpende mtu weka mipaka, kuwa jasiri.. Upendo haufurahi uovu.. Na unapo cast out uovu upendo haina masikitiko
Ndio huyohuyo Antonia.Mahondaw yupo wapi madam?
Hadi wewe shoga na upole huo wanakutenda?yes dear
ukiongea unapata relief kubwa sio kama ukikaaa nalo moyoni
Hiyo ndio tuna rudi kwa love is blind but not ujinga my dear..kwangu mimi naona ujinga kwamba sikuona huyo mtu sio.
nikaa zangu hapo sina habari .
Nyie kinacho walizia ni hisia sio upendo. Upendo hauna huzuni wala hofu.. Mie naweza nikamfukuza mtu mda huo huo na huku nampenda na ni nisiwe na huzuni hata kidogo na huo ndio upendo.. Hata Mungu anapenda wema na waouvu hata atao wachoma motoni anawapenda pia. Kuwa na upendo haukufanyi uwe tahiraHua yanasaidia hasa ukimpata mtu mwenye real love
Where is she?Ndio huyohuyo Antonia.
Aliuza jina😒
"Kama unajijua mpaka saivi hujachukua mtihani wako wa kemia mock usintafuteee👈👈!!Katakuwa kameingia Field kajiniazi ketu ka Selfika.
Wakati unamsubiri tupia kapicha Madame
Shangazi anazinguaEti Shangazi yenu😂😂😂😂😂🙌
Tangu amekuja huyu Bibi umeme unazingua.
Ila huku mjini ni mara Moja Moja sana.
Huko sasa🤣,,Kuna wenzangu wapo huko yaani wanalalamika umeme kila siku.
Na huo ugonjwa wao wa kisaikolojia?🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeshiba chai sasa enheeee tuendeleee
Enzi zangu hapa nina banda limetulia tuliii 🤠🤠 shule raha"Kama unajijua mpaka saivi hujachukua mtihani wako wa kemia mock usintafuteee👈👈!!
Uko vizuri Madame😍"Kama unajijua mpaka saivi hujachukua mtihani wako wa kemia mock usintafuteee👈👈!!
Tuko very emotional hasa kwa watu tunaowapenda, nyie si ni wagumu mnajikaza ndani kwa ndani.Nyie kinacho walizia ni hisia sio upendo. Upendo hauna huzuni wala hofu.. Mie naweza nikamfukuza mtu mda huo huo na huku nampenda na ni nisiwe na huzuni hata kidogo na huo ndio upendo.. Hata Mungu anapenda wema na waouvu hata atao wachoma motoni anawapenda pia. Kuwa na upendo haukufanyi uwe tahira
Halafu sasahivi karibia kila siku wanawakatia🤣🤣🤣🤣Shangazi anazingua
2019/2020/2021 ilikuwa mpk msikie matengenezo, napo ilikuwa nadra
Ila huu mwaka
Kuna siku ngoma ikikata saa 2 asubuhi, mtaiona saa 12 jioni..
Jumapili nimeshinda nyumbani, ilikuwa ni upo umekatika kama mara 4 hivi.
Shangazi yenu anazingua sana
Kwahiyo sisi ambao bado tumeshikilia mapenzi kwa wasiotupenda ni Wehu 😭🤠🤠 Sasa kama hivi unanipenda na mwanangu an anipenda inatosha.. Hapa kuna vitu wehu wanachanganya kati ya mapenzi na upendo.. Watu tunahitaji kupendwa sio mapenzi.. Na upendo hauna baya, upendo ni kamilifu.. Ila mapenzi ni scum tu
Nimepata ngap mm shemeji"Kama unajijua mpaka saivi hujachukua mtihani wako wa kemia mock usintafuteee!!