Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja nisome
Nimedandia tu mbele😂😂😂

Nipo tayari kuwa mpenzi mtazamaji.
Better be kuliko kujifanya wajua zaidi kumbe hujui kityu!🤗
Wacha nimsubirie cocastic mie naingia class One time akikuja nistueee 👋👋👋🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Ni kwa huu mwaka wa huyo shangazi yenu tu

Huko nyuma sikuwahi ona hii kitu
Eti Shangazi yenu😂😂😂😂😂🙌
Tangu amekuja huyu Bibi umeme unazingua.
Ila huku mjini ni mara Moja Moja sana.
Huko sasa🤣,,Kuna wenzangu wapo huko yaani wanalalamika umeme kila siku.
 
Back
Top Bottom