Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,543
- 18,234
Pamoja sana hata mimi ndiyo nimetoka kuupa mzunguko wa damu na moyo haki yake.Wale wazee wa kukataa vitambi tujuane
Pamoja sana hata mimi ndiyo nimetoka kuupa mzunguko wa damu na moyo haki yake.Wale wazee wa kukataa vitambi tujuane
[emoji120][emoji120][emoji257][emoji257][emoji257]
Nini inachomoka kakaNdio inachomoka iyo.... View attachment 1257406
Karibu kwa uzi mamiii....
Nishakaribia nipo naperuzi picha za wanaJF
Ndio unataka kusemaje eti 😂😂😂Mwalimu wako wa mwandiko nishamjua[emoji23]
Ndio unataka kusemaje eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mwal wangu ndiye alikuwa mwal wako pia?
Emu andika na wewe nikuoneHahahaha ndio ndio
Mkuu[emoji109]
Umefuta kwa nini? Nafuatia[emoji109]Nimejilipua mazima
Unatembeaga na ''burashi"? Sio kwa kung'aa huko utadhani unatembea anganiSwift FridayView attachment 1257351
Huko kwenye kukata kitambi hukooo.Wale wazee wa kukataa vitambi tujuane
Haahahha unasahau ulinizawadia gariUnatembeaga na ''burashi"? Sio kwa kung'aa huko utadhani unatembea angani
Emu andika na wewe nikuone